Raia wa Tonga wanaoishi ngambo wanasubiri kwa hamu habari za wapendwa wao baada ya volkano kusababisha tsunami katika visiwa hivyo. Volkano ya chini ya bahari ililipuka siku ya Jumamosi, yapata kilomita 65 kaskazini mwa mji mkuu Nukualofa. Mlipuko huo ambao ulisikika maeneo ya mbali...
India na Marekani zimesaini mkataba wa kijeshi unaohusu ushirikishanaji wa taarifa za siri huku kukiwa na mzozo wa mpaka kati ya serikali za Delhi na Beijing. Kuweza kuzipata data hizo kunachukuliwa kama muhimu kwa ajili ya kuyaqpiga makombora , ndege zisizokuwa na rubani na kuyalenga...
Madagascar imeuwekea mji wake mkuu Antananarivo amri ya kutotoka nje kufuatia ongezeko jipya la maambukizi ya virusi vya corona, miezi miwili baada ya masharti hayo kuondolewa, ametangaza rais. Katika taarifa, eneo la Analamanga ambalo ndilo lenye mji mkuu linafungwa tena, rais...
Mwanzilishi wa kampuni ya Amazon ameshuhudia utajiri wake ukichupa kwa kiasi cha dola bilioni 24 (sawa na pauni bilioni 19) kutokana na uhitaji mkubwa wa manunuzi kwa njia ya mtandao. Jeff Bezos sasa ana utajiri wa dola bilioni 138, kwa mujibu wa orodha ya mabilionea inayojumuisha na...
cette radio appartient a la communaute CELPA et CEPAC Le missionnaire Knut LUDVIGSEN est nommé responsable de l’institution. Il est assisté du Pasteur KADOGO Simon. Très vite, il cède la responsabilité à l’élite locale. Le Pasteur MUGISHO M. MUSAHGALUSA est désigné Directeur du Studio Neno la Uzima en 1988. Il laisse la direction du Sudio Neno la Uzima en 1996 au Pasteur KISOSE MWABI. Celui-ci sera succédé par Yohana MUSAFIRI en 1998.